Tcu second application

Tcu second application

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Sasa hivi wameweka 2ND APPLICATION kwenye tool bar. Je ni kwa wale ambao hawakupata? kama hawajatoa matokeo ya first selection how come waweke 2nd application? Kuna mwenye fununu?
 
sa c ndo hapo tunapojua kuwa TCU hawajielewi mazima
 
Ha ha ha hah leo
nilikua namtafuta
jamaa yangu
mpigamsuli kumbe
Banned Makamuzi
upo?
 
Back
Top Bottom