C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,357 Reaction score 6,424 Aug 13, 2012 #1 Sasa hivi wameweka 2ND APPLICATION kwenye tool bar. Je ni kwa wale ambao hawakupata? kama hawajatoa matokeo ya first selection how come waweke 2nd application? Kuna mwenye fununu?
Sasa hivi wameweka 2ND APPLICATION kwenye tool bar. Je ni kwa wale ambao hawakupata? kama hawajatoa matokeo ya first selection how come waweke 2nd application? Kuna mwenye fununu?
ProBook JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 559 Reaction score 264 Aug 13, 2012 #2 sa c ndo hapo tunapojua kuwa TCU hawajielewi mazima
Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,621 Reaction score 8,411 Aug 13, 2012 #3 Ha ha ha hah leo nilikua namtafuta jamaa yangu mpigamsuli kumbe Banned Makamuzi upo?
sop sop JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 325 Reaction score 35 Aug 13, 2012 #4 sasa ndo kesho hyo yanatoka!!
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Aug 14, 2012 #5 mhhh...mi nshachoka...