TCU selection hizo!

system ina sellect kulingana na kiwango cha ufaulu wa watu fulani walio chagua kozi husika,kama kuna mwenye max za chini kulingana na admission capasity kuwa na ushindani watu wanapigwa nockout,ila haiwezekani kukosa coz still mtu unachagua vyuo nane ukose vyote?
 
kwa hyo hapo watu wenye three wengi watapigwa chini?
 
Vijana wangu vuteni subira...,siku ikifika mtatangaziwa tu kwani shida iko wap? Haf watu wengine hatuna tena hamu ya kushika kitabu. Nikikumbu teso la advance chuo kinanimaliza nguvu kabisa. I wish mkopo wa ada ungekuwa ni kuanzisha business!!
 
Oyo wakubwa tulizeni mzuka wa kwenda kupiga msuli wa chuo mtaupiga msuli mpaka mtachoka so vuteni subira mtaenda chuo 2
 
Everyday Kila mtu anakuja na lake linalohusu TCU:baby::baby:

nimechoka mie
 
Hivi Moderator wa jukwaa hili ni nani?? atusaidie kucombine hizi threads.
 
hawa form 6 leaver mbona wanatusumbua..mods hebu waangalieni coz post zao hazina mashiko bali ni kama za fcbk
 
hawa form 6 leaver mbona wanatusumbua..mods hebu waangalieni coz post zao hazina mashiko bali ni kama za fcbk

kama unataka topics zenye maana nenda jukwaa la wakubwa wenzin basi.
 
hawa form 6 leaver mbona wanatusumbua..mods hebu waangalieni coz post zao hazina mashiko bali ni kama za fcbk

Kila mtu anahaki ya kupewa taarifa. Sasa wewe unakashifu nini. Nenda MMU kule ndio kuna thread utakazozipenda
 
Kila mtu anahaki ya kupewa taarifa. Sasa wewe unakashifu nini. Nenda MMU kule ndio kuna thread utakazozipenda

najua kila mtu anahaki lakini,watu kama ninyi ndo mnashusha heshima ya jamii forum kutokana na post zenu....utajiitaje greater thinker kama umeamua kugeuza jf jukwaa la mipasho ....fikiria sio unatetea pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…