Frank nzoka
Member
- Aug 11, 2011
- 30
- 8

Mama yangu wewe uliye wambia ile njia yako ya kugundua kama umechaguliwa au umeachwa kama ujanja wako sasa imekwisha tapakaa mitaani huku wa2 wameamini na kuanza kuhaha. Jamani tumecheleweshwa but tuvumilie. Kama alivyosema senetor hapo juu hakuna tuition huko.

Mimi nina swali. Kama wanafunzi wote tumeomba kupitia tcu ndo tunaitegemea itoe selections kabla ya vyuo husika. Je imekuwaje IFM wao wametoa? Na je kwa huyu aliyechaguliwa ifm akiingia kwenye acount yake tcu na kufungua selections results yeye anajibiwaje? Maana cc 2mezoea na kukutana na neno SORRY....................selection results are not yet published!

Guys web ya udom ina load 4 28hrs nw.. Myb wana updat matokeo. O ts only n ma side? F ts 4 all a hop myb m0ndy 2naweza c s0me changs...

mwaka huu hakuna chuo knachochukua madent,so endeleen kupga temple 2.