TCU selections are OUT!!

Status
Not open for further replies.
Jamani mtusaidie na sisi ambao ni equivalent au diploma? Tunafanyaje? Hongereni mliopata
 
kwa wale waliopata vyuo nawapongeza..
Kama haukupata Cz uliyoapply ukufika chuo usiogope kubadili na kufuata kipenda roho.
Kwa waliokosa vyuo walivyotamani maisha yanasonga..
...."IF U CAN'T GET WHAT YOU LIKE THEN LEARN TO LIKE WHAT YOU GET...."
 
naombeni mumuangalizie mdogo wangu username ni S0167/0057/2010 na password ni astelia me nimejaribu kuangalia inazingua
 
[QUOTE
...."IF U CAN'T GET WHAT YOU LIKE THEN LEARN TO LIKE WHAT YOU GET...."[/QUOTE]

Hiyo muhimu sana
 
mnaangalia kwenye website au profile sababu sijaona na profile imeandika not yet processed.... nijuzeni waungwana
 
mnaangalia kwenye website au profile sababu sijaona na profile imeandika not yet processed.... nijuzeni waungwana

angalia kwa kupitia 4ne mtandao airtel
 
Moderator hii napendekeza iamishiwe jukwaa la jokes... Watu wamedanganyika hapa wanaanza kutoa passwords zao za tcu
 
Last edited by a moderator:
Habar wakuu naomba kufahamishwa steps za kuangalia majina ya waliochaguliwa na tcu kwa kutumia simu na pia kama kuna tofauti ya steps kati ya form six na wale diploma holders.namba kujuzwa plz.
 
Mimi ninachojua,ni kwamba wale waliofanya application kwa kutumia matokeo ya form six,ndio unaweza kuangalia kupitia airtell,kwa kupiga nyota,miamoja hamsin,nyota,alama ya reli.ok.alafu fuata maelekezo,utaingia login,ikifunguka,ingiza user name,ambayo ni n.yako ya form four,then neno lako la siri,ikifunguka,nenda my admssion.utaona.ila kwa sasa,itakuambia your application is successfully,proccessed.wait official annauncement!:wave:
 
wazee wa dodoso maswala ya selection za vyuo kutoka tcu lini?​
 
Sometimes its very anoying! Why cant u be patient and wait?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…