TCU wametoa selection zao kwa kila mtu kupitia profile yake. ingawa wengi wamechaguliwa kwa facult ambazo hawajaziomba. angalia kwenye profile yako ndani ya TCU then ingia kwenye "view my selection status"
ALL THE BEST GUYS:second:
Namshukuru Mungu na wana jf wote hatimaye presha imeshuka nimechaguliwa ardhi bsc. In land management and valuation . Once again nawashukuru sana kwa taarifa.