Tcu,tcu,tcu........

Apex

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
425
Reaction score
61
Jf bila shaka wote wazima,jaman naomba msaada wenu kwa hayo yaliyomtokea jamaa yangu,aliomba na akawa ajachaguliwa kwa 1st round,akaomba 2nd round ifm,majina ya selected to udom akawepo degree ya health....lkn amepiga EGM,Leo selection za tcu zimetoka ame be admitted Udom b.of computer science & information systeam security,mbaya zaidi hiyo prgm haipo pale Udom,je hii inakuweje wadau msaada pls.
 
Duuh maruerue,awasiliane na wahusika
 
mkuu wapigie tcu,,huu ni ujinga....
 
Exactly the same thing happened to a friend of mine na yeye alisoma EGM akakosa 1st round akaaply 2nd round St John lakini ameandikiwa course hiyi hiyo ya UDOM..shida ni nin aisee hawa TCU.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…