Jamani, baada kuangalia kwenye website ya TCU, nimeona jina langu kwamba nimechaguliwa kwenda Udom. Lakini kwenye list ambayo imetolewa na Udom, jina langu halimo. Sijui tatatizo liko wapo!
Tafuta namba za UDOM waeleze tatizo.Hata hivyo udom huwa wanatoa selection zaidi ya mara moja.So waweza subiri.Mara nyingi matatizo kama haya huwapata watu walioapply facult za vigezo vidogo vidogo.Kwani umechaguliwa course gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.