Tcu tcu

Musasa

Member
Joined
Sep 7, 2010
Posts
23
Reaction score
6
Jamani, baada kuangalia kwenye website ya TCU, nimeona jina langu kwamba nimechaguliwa kwenda Udom. Lakini kwenye list ambayo imetolewa na Udom, jina langu halimo. Sijui tatatizo liko wapo!
 
Tafuta namba za UDOM waeleze tatizo.Hata hivyo udom huwa wanatoa selection zaidi ya mara moja.So waweza subiri.Mara nyingi matatizo kama haya huwapata watu walioapply facult za vigezo vidogo vidogo.Kwani umechaguliwa course gani?
 
Pole sana ndugu! Kwny machaguo yako mengine hakuna hata chuo walichothbitsha kuchaguliWA? Ucje ukawa multple slctd!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…