TCU transfer application

hivi iyo transfer ni kwa wote au nacte nao wanaprocess zao za kuhama chuo.
 
nimeyapenda maelezo yako kaka but cjaelewa hiyo form nikishadownload najaza then na send kwa kuscan au naituma kwa posta?
 
Hakuna kitu hapo ,wote umalaya mtupu.
why hakuna medicine, pharmacy, architecture, env science, eng

Maana yake ni kwamba hizo ulizozitaja tayari wameshazijaza na hakuna nafasi ya ziada. Najua kwamba unalifahamu hili.
 
Jamani mi naomba kuuliza hizi fomu zinachukua muda gani kujibiwa coz mm nilipopelekwa wanafungua tarh 13 tumaini na ninakoomba kuhamia ni mzumbe pia wanafungua tarh 13 so nipo njia panda kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…