Tcu transfer majibu watatoa lini?

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Yeah,mie niliomba kuhama chuo kutoka stefano moshi to sua je mwenye habari selection watatoa lini?
 
kila mtu analia kivyake wengine wanauliza majina ya third batch wengine transfer
 
hata mie nayasubiri kaka,nimehamisha mtu kutoka udsm kwenda udom,nadhan tarehe 17 wanatoa afu loanboard 18
 
Kwa hiyo unaonaje wapotezewe au? Fikiria kabla hujaongea!

kila mwenye sifa za kuingia chuo kikuu lazima atendewe haki kama raia mwingine bila kubagua tatizo hapa wakatiwa kusubiri huwa ni kipindi kigumu sana kwa hiyo uvumilivu ndiyo jambo la msingi sana kwa kila jambo na hapa hakuna haja ya kurushiana maneno katika hili ushirikiano ni jambo la msingi sana
 

wazi bro
 
Me nahitaji kuhamia cbe ya dodoma yaan from CBE dsm to CBE dodoma je n hatua zipi nizifate ili nifanikiwe kuhama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…