Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 147
Jamani kama mtakumbuka hivi karibuni wanafunzi walio maliza kidato cha sita wali apply kupitia central admission system, vipi majibu mbona yanachelewa?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani kama mtakumbuka hivi karibuni wanafunzi walio maliza kidato cha sita wali apply kupitia central admission system, vipi majibu mbona yanachelewa?.
Nisikilize chombo gani?. Mi ninashauku kea sababau nayategemea sana hayo majibu cja apply kokote pale zaidi yao. @ kanyafu, Je na wewe ni mdau?Kwani wewe una haraka gani!? Weekend hii majibu yanatolewa. Sikilizia vyombo vya habari by saturday. Kila la kheri
Nisikilize chombo gani?. Mi ninashauku kea sababau nayategemea sana hayo majibu cja apply kokote pale zaidi yao. @ kanyafu, Je na wewe ni mdau?
neno lenye msari mwekundu mbona sijakuelewa? :confused2:subiri kwanza 'wanachakachua' majina kabla ya kutoka..........stay tuned!!
Baada ya TCU kupeleka hayo majina yenye sifa huko vyuoni na vyuo kuchagua wanaowataka, then hao wasio takiwa na hivyo vyuo inakuaje??!TCU wanachuja majina ila kupata wale wenye sifa za kusoma vyuo vikuu, halafu majina yanayokuwa na sifa hupelekwa kwenye vyuo husika ambako muombaji aliomba, hivyo vyuo vitachagua wanao wataka kulingana na uwezo wa vyuo na qualification miongoni mwa wale waliochujwa toka TCU. kwahiyo tarajia kupata majibu toka kweye vyuo ulivyoomba. ukweli ni kuwa uliomba kweye vyuo ila ulipitia TCU. TCU kazi yao ni kuhakikisha vyuo vinafanya kazi kwa kuzingatia ubora. ktk kutekeleza hilo, moja ya kazi za TCU ni kuhakikisha vyuo vinachukua watu walio na sifa za kusoma vyuoni. kuna vyuo vingeweza kusajili watu ambao hata hawana minimum qulifications, hilo huzuiwa na mkono wa TCU
Baada ya TCU kupeleka hayo majina yenye sifa huko vyuoni na vyuo kuchagua wanaowataka, then hao wasio takiwa na hivyo vyuo inakuaje??!
Ukiufungua Moyo Wangu ni, Dr Slaa Mtupu.Subirini hadi uchaguzi uishe. Nadhani hawapendi kuwambia hilo.
Msisahau kumchagua kamanda Dr WPSlaa