TCU Vs FORM SIX LEAVERS 2012...

TCU Vs FORM SIX LEAVERS 2012...

Raphael9

Senior Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
145
Reaction score
44
Kwa anayejua 7bu za tcu kuchelewesha sellection!! na kwa anayejua zitatoka lini? japo hata tetesi!!
Nawasilisha hoja..
 
We nani kakwambia kua zimechelewa???? mbona m naona kama tunataka zitoke kabla ya muda. And kutokana na missing information kwenye baadhi ya account za waombaji usitegemee zitoke hivi karibuni.
 
Tcu selection me ninazani zitatoka baadae sana but kufanya ivo sio poa kwa sababu watu wanatakiwa wajitambue kama wamechagulia au la ili waanze maandalizi kwa aliechaguliwa
 
Ikiwa ndo hivyo kunauwezekano wa mpaka mwezi wa 9 mwishoni maana kwa walio miss info mwisho wa kurekebisha n 4/9
 
Ikiwa ndo hivyo kunauwezekano wa mpaka mwezi wa 9 mwishoni maana kwa walio miss info mwisho wa kurekebisha n 4/9
weeee acha kupotosha watu!!! mwisho ni 4/9 au 12/8... unachezea watu eeehh!!!??
 
kwa anayejua 7bu za tcu kuchelewesha sellection!! Na kwa anayejua zitatoka lini? Japo hata tetesi!!
Nawasilisha hoja..

bodi ya mikopo haina hela!hazina wameiagiza benki kuu kuchapisha noti kupitia kwa mpiga chapa mkuu wa serikali!kuweni na subira mpaka mwezi disemba!
 
sio kwamba mzuka ila nikuitaji kujua kwamba haya mambo yamefikia wapi? na kipi kinaendelea@Data
 
tulieni vijanaa naona mnahamu ya kipigasana msuli mtaupiga mpaka mtachoka
 
Hawa tcu hata Sijui wana waza nin!? Ni vyema watoe mapema watu wajipange.. Wengine ada mpaka ng'ombe waende mnadani..
 
bodi ya mikopo haina hela!hazina wameiagiza benki kuu kuchapisha noti kupitia kwa mpiga chapa mkuu wa serikali!kuweni na subira mpaka mwezi disemba!

unandhani maelezo yako yame jitosheleza au hizo noti zinachapishwa ovyo kama magazeti ya udaku!!!:A S cry:
 
Back
Top Bottom