DERICK JEFFO
Member
- Oct 18, 2014
- 8
- 0
At TCU wanadai waliopata transfer majina yao yanaanza kupelekwa vyuoni kesho..but kujiregister nako wanataka wajue percent yako ya mkopo ili waweze kuweka mambo yao clear...nao bod haifahamiki namna watavyorenew mkopo wako..mwenye uelewa zaidi juu ya hili please