TCU wameachia Batch ya Tatu (Batch Three) kwa walioomba Vyuo mwaka jana na kusitisha

Joined
Jun 4, 2015
Posts
37
Reaction score
18
Heshima kwenu wakuu wote wa humu.

Niwaletee habari mpya kwa wale wenzangu na mimi walioomba kusitisha nafasi zao na kutuma maombi ya kuomba upya vyuo kwa mwaka wa masomo 2015/16

TCU wameachia list mpya hebu bofya hapa kusoma list http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Tangazo waombaji wapya.pdf au soma hapa kupakua list nzima. http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Approved re-application BAtch3.pdf.

Niwape angalizo wale VILAZA wa KIU na ST. Joseph walioomba kuacha chuo na wengine kuandamana hadi ofisi za TCU kushinikiza kuhamishwa ndugu zangu mnapoteza muda wenu. Bora muache chuo na kuomba zenu Education Science mapema. Kwenye vyuo kama MWECAU ana Marian University (Chuo kipya cha St. Agustine) hapa mtasoma programme za Sayansi vizuri bila shida.

Nawatakia sikukuu njema.

Mhanga mwenzenu nimeomba Education Science mapemaaa sitaki shida:A S-rap:
 
mchepukomatope, kumbuka ukiomba education utatakiwa kurudisha fedha ya bodi ndipo upewe mkopo tena.

MWECAU ni chuo kizuri sana kwa fani za education science na arts& mathematics ila wajiandae kupiga msuli wa seminary aisee
 
Last edited by a moderator:
jamanii eee naomben msaaada mi cjaona jina langu na cjui kama kutakuwa na batch nyngne naomben mnijuze cielewi hata chakufanya yan
 
sio akiomba education tu ndio atarudisha asilimia za bodi ya mikopo,hata akiomba kozi yoyote ile lazima hela atarudisha kwanza ndio apewe tena



yaap ni kozi zote unarudisha, sema yeye aliwashauri waombe education
 
Msaada: Anayejua kama kuna fourth batch TCU kwa wasioenda chuo mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…