TCU wameniua!!

Joined
Aug 11, 2012
Posts
76
Reaction score
3
jamani Nifanyaje Nimepangiwa UDSM coz hata sijaiomba alafu Ni ya Science wakati Mimi Nilisoma Arts.. Bachelor of Engineer sijui na Makorokocho gani Asee!!!
 
Acha uhuni bana! hakuna course kama hiyo! "Barchelor of engineer" ?

Pia kwa sysetrrm hizi za TCU,I dont think this can happen!
 
Safi sana kwani iyo ninin ndo arts uliyokuwa unaitaka kama vp kapige msuli 2 coet kaka/mdada
 
Unajipaisha tu Udsm huwezi kwenda kirahisi hivo
 
Reactions: SMU
Aisee hii kitu imetokea hata kwa chalii wangu mmoja,,yeye amesoma EGM na aliappy UDSM,Ardhi na Mzumbe course za biashara lakini cha kushangaza kwenye majina ya waliokuwa not selected alikuwepo akafanya application kwa 2nd round akachagua St. John Dodoma but selection zimetoka leo amepangiwa bachelor of science in computer and information system na kwenye selection za UDOM yupo..naweza nkaelezewa hapa inakuwaje aisee..
 
jamani Wamesha nirekebishia
SA002
Bachelor of Arts in
Public Relations and
Marketing
St. Augustine
University of
Tanzania
7 Admitted Eligible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…