Tudai Haki
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 315
- 80
Wakuu Salaam
Naomba kuuliza hivi sisi tuliojaza kupitia equivalent wameshaanza kutoa selection? na kuna second kama hawa wadogo zetu sixliver?
Naomba kujuzwa.
Maana nimeingia kwnye profile yangu nimekuta kama nilivyojaza wakati madogo wanatupa F/A.