Tudai Haki JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 315 Reaction score 80 Sep 12, 2014 #1 Wakuu Salaam Naomba kuuliza hivi sisi tuliojaza kupitia equivalent wameshaanza kutoa selection? na kuna second kama hawa wadogo zetu sixliver? Naomba kujuzwa. Maana nimeingia kwnye profile yangu nimekuta kama nilivyojaza wakati madogo wanatupa F/A.
Wakuu Salaam Naomba kuuliza hivi sisi tuliojaza kupitia equivalent wameshaanza kutoa selection? na kuna second kama hawa wadogo zetu sixliver? Naomba kujuzwa. Maana nimeingia kwnye profile yangu nimekuta kama nilivyojaza wakati madogo wanatupa F/A.