TCU wanatutania Undergraduates?

ngomicom

Senior Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
123
Reaction score
19
Wapendwa katika Elimu, hawa TCU wanatutania ? Mbona kimya kimezidi na hii ni Almost mida muafaka? ama mimi ndo ninapressure za bongo. Kama wameshindwa kazi basi waviache vyuo vifanye kazi zake wasitake tu kulamba 30,000 zetu wanyonge!
 
yatatoka tu mkuu..kuwa na subra!!
 
ngomicom dah kila mtu anahamu ya kujua alikopata but waamuzi ndio hao wanaozingua. Lakini lazima yatoke.
 
Last edited by a moderator:
Good Guy fafanua mkuu ndio vifaa tayari?
 
Last edited by a moderator:
Tuko ofisini 2nadiscuss tuweke heading gani ya kimombo au kiswahili ipi ina mvuto afu tunayaachia!!
 
oyy mbona hiyo link kwetu huku hatuioni aiseee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…