TCU wanauhalali gani wa kuanzisha ada ya Quality Assurance !?

stewart2

Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
30
Reaction score
4
Ndugu wanaJF,

Natumaini title hiyo hapo juu sio ngeni kwa wanafunz wanaoendelea na masomo yao ya elimu juu but kama huna taarifa basi iko hivii...

TCU wameamua kuanzisha Quality Assurance Fee ya Tsh 20,000 kwa kila mwanafunzi anayesoma chuo kinachotoa degree program bila kujali yupo level gani! Sasa hoja yangu ni kwamba inakuwaje TCU inakuwa inajiendesha kwa jinsi inavyotaka, badala ya kutekeleza majukum yake kiungwana inazidi kuwabebesha wananchi mzigo mzito wa pesa?

Ikumbukwe kwamba TCU hao hao ndio walioiona ile 30,000 ya application ni ndogo nakuamua kupandisha mpaka 50,000! Enyi ma-director wa TCU, kwa gharama zipi za uendeshaji zilipanda na kuamua kupandisha hiyo ada? Mbona bodi ya mikopo hawapandishi kihasara ada zao licha ya ukweli kwamba wao ndo wenye jukumu kubwa la kupitia kila form ya muombaji tofaut na nyie ambao tasks nying za application zinakuwa automated kwa system.

Na mbaya zaidi katika case hiz za kupanda kwa ada mnakuwa hamtoi apparent reasons kufuatia mabadiliko hayo badala yake mnatoa kama amri huko kambini.
 
ustaajabu ya ktba mpya utayaona ya TCU:A S-eek::A S-eek::A S-eek:
 
ngoja hiyo hoja iwafikie vijana makini waone kama watakubaliwa.....maana wamezd upumbavu hao jamaa wa TCU
 
ivi wao wakishatoa selection zao c wameshamalizana na wanavyuo au wanaingiaje tena naomba mnieleweshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…