TCU waongeza muda wa maombi kwa ajili ya kozi moja ya MUHAS

TCU waongeza muda wa maombi kwa ajili ya kozi moja ya MUHAS

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
TCU wameongeza muda mpaka trh 17/09/2012 kufuatia ombi maalimu kutoka MUHAS kuwa wanahitaji wanafunzi kwa ajili ya kozi ya environmental healh scince.Ni wazi kozi hiyo imekosa watu.

Sasa swali hii mikopo itatoka lini kama kila siku ni kuongeza muda tu.

Inaboa mno.

Tembelea site ya TCU uone tangazo hilo jipya.
 
Huu ni ukichaa usiokuwa na kipimo... inamaana hawakuona mwanzoni kwamba kulikuwa na available slots katika hiyo course..sasa tuone watapata wapi hao watu wakuaply hiyo course..nyambaf
 
Inaombwaje hyo jaman mbona nmeipenda? Ila niko admitted Duce cjui inawezekana kuapply hiyo kitu! Nsaidien jaman wana jukwaa.
 
Back
Top Bottom