Tcu waongeze muda!

Nahitaji kujua kaka angu deadline mwsho lini cz mi nilikuwa najua leo bt kuna watu wanadai tarehe 31august sasa nahitaji kujua ni wameextend au vipi beside kuna mtu amemaliza chuo mwezi wa,sita mwaka huu anahitajji kufanya,application????
 
Jamani TCU Waongeze muda jamani kwa watu waliotoka diploma maana!!!!!

Yaani kwa namna hii hata ningekuwa ni mimi nina mamlaka ya kuongeza mda ingekuwa ni vigumu sana kuongeza mda maana hujaeleza sababu yoyote ya kwa nini mda uongezwe

Mda wa mwisho wa kufanya application kwa watu wa diploma ilikuwa ni tarehe 30 june wakaongeza mda hadi leo tarehe 31 July sasa wewe unatakiwa ueleze unataka waongeze mda hadi lini na kwa sababu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…