jingomaster
Member
- Sep 14, 2014
- 7
- 1
Habari,
Nenda katika link hii*** Home *** kila kitu kianajieleza
Ukisech mwaka tuuu watakuja wote walomaliza mwaka huo fanya hivyo kama bado ichek pm nikusaidie
Au andika taarifa zako zote, itakuletea umechaguliwa chuo gani
Sijafanya second round application, profile yangu iko processed successful
kati ya Arthi... Udsm.. Udom na Dit till now sijaona jina. Ndugu embu tusaidiane hapo...?
DIT bdo HAWAJATOA MAJINA. PROBABLY UTAKUWA UMEPELEKWA DIT
Udom pia watatoa second batch selection
iwejewaniweke 2nd batch wakati sio 2nd round applction....?
iwejewaniweke 2nd batch wakati sio 2nd round applction....?
Hapo sasa sielewi maana kupundi kile selection zime leak kuna mtu niliangalia kabisa nikaona udon but surprisingly jina lake halipo
Ila nasikia ndo utaratibu huo kila mwaka kutoa selection in batches
Kila namba unayotia inasema hivo