Tcu washachafua hali ya hewa hukuu

Mbrazili

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
649
Reaction score
90
Jamani wazoefu msaada kidogo...nimetembelea profile yangu ya TCU leo karibu nizimiee....
Nimekuta selection zangu zote zimevurugwa vurugwa na nimewekewa mpya..mbaya zaidi hizo mpya zenyewe siendani nazo...mi nimepiga hge...sasa wameniwekea hivii
1. Bachelor of arts in french udom
2. Bachelor of arts in english udom
3. Land valuation n management ardhi..hii haijabadilishwa
4. BBA- RUAHA
5. Bsc in account n finance ardhi...hii nayo haijabadilishwa...

Sasa najiuliza kama wao ndo wameweka nibadilishe tena??...na nikiacha french ntasomaje mie cjui chochoteee??.....hii hatari msaada jamani

Hahahaaa mwisho kabisa nazidi kujithibitishia kuwa nimefeli...kwani zote zilizofutwa ni za UDSM na MZUMBE....LOL
 
Wizara ya elimu imepoteza mwelekeo na bado matatizo makubwa yataendelea kuikumba elimu kama uongozi hautabadilika
 
Habari za Kuaminika ni kwamba kulikuwa na matengezezo kwenye Mitambo yao (SEVERS); ambayo yalipelekea kubadilika kwa Programm za waombaji na kwamba hilo halikuwa ni tatizo bali ilikuwa ni zoezi la kimatengenezo kwani baada ya hapo wangerudisha Programme kama zilivyokuwa hivyo "tatizo hilo halipo". Kwa sasa maombi ya wadahiliwa yako vilevile kama walivyoomba mwanzo. Kama mwombaji baada ya kuona maombi yake yamebadilika akapanick na kubadilisha anaombwa arudishe kama zilivyokuwa hapo mwanzo na kama hukubadili maombi yako basi maombi yako bado yako vilevile. Hakuna haja ya kupanic. Siku Njema Wadau
 

kijana pole sana hiyo ndo elimu ya siku hizi bongo aisee bora hata wamekuwekea french maana wengine huwa wanatupiwa Medicine kabisa kijana
 
tatizo pia hawafanyi updation kwenye web yao.Kuna vyuo kwenye guide book wameongeza kozi mpya ambazo zinatzkiwa kuanza septemba lakini unapoomba huoni hizo programme.Wana tatizo na mtu wao wa IT huenda.
 
Kweli nimeona wamerudisha kama kawaida....ila kwenye eligibity pale kozi mbili nimewekewa NO....Je niache tu au nitafute nyingine ambazo watakubali wao???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…