TCU wataanza kupokea maombi ya application lini?

TCU wataanza kupokea maombi ya application lini?

majitta one

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
204
Reaction score
14
Wakuu napenda kufahamisha tcu huwa wanaanza kupokea maombi ya application kwa ajili ya kujiunga na vyuo kuanzia mwezi gani?

Pia utaratibu wa kutuma unakuwaje kati ua chuo ulichoomba, tcu na bodi ya mikopo.


#kuuliza siyo ujinga.
 
Watatangaza kwenye vyombo vya habari na pia kwenda sambamba ma uuzwaji wa vocha zake kweny ma benki
 
Back
Top Bottom