eddy mihambo
New Member
- Aug 11, 2012
- 2
- 0
tcu ina matatzo gani?
jamani naombeni munifahamishe jinsi ya kutafuta post za vyuo vikuu kwani sijaelewa
najaribu kufungua lakin haifunguki. the website haifungukiMbona taarifa yako aileweki.Funguka acha kupapasa
sasa hii website inazingua na hawa ambao info zime miss inakuaje?? watajazaje akat web haifunguki afu mbaya zaid today ndo mwisho mhhhhh!!!!
yah nshaipata mkuu thanx.....CAS inafunguka kama kawa tatizo ni main site ya TCU
Mambo yameiva!!