TCU website

TCU website

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
great thinkers naombeni msaada wenu hivi Vocher no kwenye website ya TCU sehemu ya CAS inamaana gani ni namba zipi zinatakiwa pale
 
NI Vocha za Malipo na Zinauzwa NBC tawi Lolote nchini utakwangua na kuweka namba hizo za kwenye hiyo Vocha kiiiisha unaendelea na mchakato wako wa kuapply
 
Nashukuru sana mkubwa wangu zinauzwa kiasi gani
 
NI Vocha za Malipo na Zinauzwa NBC tawi Lolote nchini utakwangua na kuweka namba hizo za kwenye hiyo Vocha kiiiisha unaendelea na mchakato wako wa kuapply
Ok nimeona kumbe ni tsh 50,000 shukran kaka
 
Back
Top Bottom