TCU yaidhalilisha UDSM...


Nimeipenda sana hii post yako maana tusiongelee wanaoingia ila tuongelee wanaotoka wamelifnyia nini taifa mpaka tuseme ud inaongoza ktk ukanda wa afrika mashariki?
 
Labda niwaulize wanajamvi kuwa nini UDSM imeleta mapinduzi gani ktk maendeleo ya nchi hii! Kwanini nchi yetu bado ni maskini,kwanini dk anafikiria division one,kwanini mtu anayejiita dokta akawa hana uwezo wa kumfundisha mtu aliyepata division two.Hata wanaojiita wasomi wanahitaji kuelimika
Spendi madokta wanaodiscuss division one au two badala ya kudiscuss ideas,
We need mental liberation
 
UDSM lazima itetee hashima yake.naona TCU inawabeep!
 
you can not compare UDSM na vyuo vya kata.lazima tukubali kuwa kuna vichwa na vilaza.kamwe tusikubali vilaza kuchukua nafasi za vipanga.
 
Msaada Wakuu,
hivi vyuo vya kata wamejenga lini? Kwani kata yetu hatuna chuo,hongera wewe ambaye kata yako kuna "chuo cha kata"kwani mmeendelea sana.
 
Ulipata four ndo maana una hasira ud ni kwel wanachukuaga one tupu
 
ivi kazi ya mwalimu ninini?? ivi kweli prof anaweza toa maneno mabovu kama haya! eti anataka cream then na hao wengine waende wap?
kwanza ni lazima niwapongeze tcu kwa kufanya walichofanya..lazima wapate haki sawa wote,sasa wanataka dv1 tu je na hao wengine waende wao? kwan wao hawataki kusoma sheria hapo ud?
KAZI YA MWALIMU NI KUFUNDISHA NA KUMWONDOLEA MTU UJINGA NA SIO KUCHAGUA WANAFUNZI WA KUFUNDISHA!
 
you can not compare udsm na vyuo vya kata.lazima tukubali kuwa kuna vichwa na vilaza.kamwe tusikubali vilaza kuchukua nafasi za vipanga.
aisee ni vyuo gani hivyo...vyuo vya kata ni vipi????
 
huyo mhadhili must be one of the coward conservatist jellyfish.
 
haa...mh embu nifafanulie hapo kwenye red!??
 
huyu mhadhiri ni mku******vu sana!! na hajui kazi yake..
 
vijana kasomeni tu..
Achaneni na hzo fikra mgando za mtoa mada na profesa wake..

Chuo kikuu ni fresh start.. Hatuangalii division. Wapo waliokuja na point 4.. Ila mashati yanavutwa kama kawa..

MSIOGOPE.
 

chukua 'LIKE' kamanda 🙂
 
you can not compare UDSM na vyuo vya kata.lazima tukubali kuwa kuna vichwa na vilaza.kamwe tusikubali vilaza kuchukua nafasi za vipanga.

tunakoelekea nchi hii ni KUPIGANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…