TCU YAMALIZA UBISHI (ARDHI, MUST nK)

yah! Ni vyote mkuu!
Unajaza tu info za mhusika then unasearch!
Hata kama huna info zote ukijua firstname na surname basi ukisearch info zote zinakuja!

Mkuu naomba unijuze jinsi ya kuangalia hizo selection kwani nikiingia ktk website ya TCU nashindwa kuelewa nielekee wapi...
Nisaidieni wadau hayo Maelezo
 
ingia kweny website ya tcu kuna tangazo jipya la selected applicant andika any information
 
Naomba kuuliza ndg zanguni,hii ni kwa wote hata walioomba kupitia NACTE?
 
tangopori upo wapi tunaitaji msaada hapo katika hizo index number tupe ripot bana
 
ingia kweny website ya tcu kuna tangazo jipya la selected applicant andika any information
?

nimeingia kwenye hiyo website ya TCU lkn mm bado ni mbulula sasa naomba niangalizie hii namba please...!!!?
S1485/0275/2010
 
?

nimeingia kwenye hiyo website ya TCU lkn mm bado ni mbulula sasa naomba niangalizie hii namba please...!!!?
S1485/0275/2010

YUSUPH MINTANGA----Bachelor of science in accnt and finance (Ardhi university)

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Naomba kuuliza ndg zanguni,hii ni kwa wote hata walioomba kupitia NACTE?

Kijana mi pia ni wa NACTE na chuo nilichoomba ni DIT,nikicheki hapo tcu inaniambia not selected or not approved by institution,na hiyo imetokea karibu kwa wenzangu wote tulioomba DIT kwa OD,TUVUTE SUBIRA TUONE MWISHO WAKE.
 
niangalizien S1350/0010/2010 na S1196/0185/2010 wakubwa msaada nimekwama

[TABLE="width: 894"]
[TR]
[TD]HUSNA[/TD]
[TD]MASHAKA[/TD]
[TD]MWENDA[/TD]
[TD]F[/TD]
[TD]S1350/0010/2010[/TD]
[TD]Bachelor of Science in Nursing[/TD]
[TD]Hubert Kairuki Memorial University[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 894"]
[TR]
[TD]THABITI[/TD]
[TD]SELEMAN[/TD]
[TD]MBIAJI[/TD]
[TD]M[/TD]
[TD]S1196/0185/2010[/TD]
[TD]Bachelor of Science in Geoinformatics[/TD]
[TD]Ardhi University

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…