TCU YATOA MAJINA YA FIRST AND SECOND SELECTION 2012/13 click here

Status
Not open for further replies.
Hahaha Haaaaah.acheni Masiara Ninyi. He,kama Jukwaa Hl Limewashinda Basi Amieni Jukwaa La Udaku Na Utani Mazee.hl Ni Jukwaa La Wasomi
 
Mbona w2 mnapenda sana kuharibiana cku,
 
jamaa yuko right coz jana nliingia na ilikubal but file halikuingzwa kwa mfumo wa PDF.Na kama uktaka kujtafuta mwenyew kuna sehem ya kuandka index no,year,1st and last name and degree.Also kuna link kwa ajl ya unselected applcnts.
 
hongera waliopata na waliokosa mckate tamaa apply mwakani Please click here to open...

ni kwel ukitaka kujua ili uingie kwenye mkato eka nukta wakat unaeka number yako kama user name mfano s0781.29121.2009 na ueke paswrd zako yan ucje ukaeka mkato eka nukta? ukfanya hvo ndo utaweza login kwny hyo site ya login 4 higher institution halaf fuata maelekezo
 
Sidhan kama ni sahihi kudanganyana kwenye sehemu muhimu kama hii....hicho kinachosemwa hakiko coz tumejaribu sana bila mafanikio....tusitumie pressure waliyonayo wanaosubiri kuwayumbisha kimawazo
 
Sidhan kama ni sahihi kudanganyana kwenye sehemu muhimu kama hii....hicho kinachosemwa hakiko coz tumejaribu sana bila mafanikio....tusitumie pressure waliyonayo wanaosubiri kuwayumbisha kimawazo

Thats is hawa jamaa wanaongopa hapa
 
Mbona mi yangu imekubal nazawengne msiwe wabsh jaribun yan unavoeka ile user name yko kwny cas huwa inakua kama hv s0714/0163/2009 sasa uceke kama 4mat hyo eka iwe s0714.0163.2009 huu ni mfano hlf eka ur pasword yan kwny ile site ya login 4 higher student i swear 2 god ctanii
 

kaka embu nielekeze vzr ile 4mu nyngne ukitaka kuangalia admtted student baada ya kulogin
 
mbona uki log in inakataa pamoja na kuweka nukta badala ya mkato?
 
Wakuu kama nikweli mbona inakataa kwa njia zote,nimeweka nukta imetema,mkato bado inatema,hebu nielekezeni wakuu
 
nyie mlioona ina maana majina yamependelewa yenu 2? mbona c wengine hatuoni k2!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…