TCU YATOA MAJINA YA FIRST AND SECOND SELECTION 2012/13 click here

Status
Not open for further replies.

Dah!! Io s0781 arusha day moja arifu ,,
 
Wakuu ni kweli coz mi nlijaribu usiku ikakubali but sahv inagoma!
 
Cunajua tena natolea mfano s0781 coz ndo code ya skul nlyo soma arusha day moko
 
:spy: jamani mbona mimi nimelogin sasa fresh,unaweza kuingiza mara ya 1 ikagoma rudia tena itakubali acheni ubishi hausaidii
 
:spy: jamani mbona mimi nimelogin sasa fresh,unaweza kuingiza mara ya 1 ikagoma rudia tena itakubali acheni ubishi hausaidii

mwana nimetry mpaka basi, ngoma inagoma haitaki kabisa kufungua,
 
Aisee imekubali kabisa ila kakifaa kangu hakana pdf ukweli kabisa nimelog in kuna sehemu imeandikwa home>selected students>rejected students> change my password leo ni sabato siongopi.
 
Uja think mkuu kumwita mpumbavu mtu aliyeleta newz nzuri hakika kama kifaa changu kingekuwa na pdf pale pale ningedowload na kudisplay isitoshe nimewasiliana na jamaa yangu ameshindwa kulog in lakini nawaakikishia nimelog in mara 2 ikakubali ila kwa kuwa mbuz wa maskin hadownload basi lakini mkuu hukishindwa usikimbilie kwenye matusi ipo mitandao mingi ya matusi ila sikushauri uende huko kaa hapa utajifunza kitu kutoka kwa GT. MUNGU AKUBARIKI SANA.
 
Kama yako katika .pdf hebu yawekeni Hapa tuona wote
 
Duh! sijui mwaka huu watatoa lini maana madogo wanazingua humu.
 
Ahsante sana mkuu hakika umemjibu kiungwana mno! Unatakiwa kuwa mfano kwa Casio staha humu jf
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…