TCu yavamiwa

TCu yavamiwa

nover

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
239
Reaction score
178
habari za uhakika kutoka clouds fm zinasema kuwa usku wa kuamkia leo wez walivamia tcu na kuchukua baadhi ya vyombo vya kaz, walinz mpaka sasa hawana fahamu, cha kushkuru mungu ni kwamba data za watu waliofanya uadili zipo salama
 
Hao majambaz nao wamekosea,walitakiwa wakavamie kule loans board ili kufuta ushahidi wa madeni yetu.
 
Back
Top Bottom