nover JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 239 Reaction score 178 Jun 25, 2012 #1 habari za uhakika kutoka clouds fm zinasema kuwa usku wa kuamkia leo wez walivamia tcu na kuchukua baadhi ya vyombo vya kaz, walinz mpaka sasa hawana fahamu, cha kushkuru mungu ni kwamba data za watu waliofanya uadili zipo salama
habari za uhakika kutoka clouds fm zinasema kuwa usku wa kuamkia leo wez walivamia tcu na kuchukua baadhi ya vyombo vya kaz, walinz mpaka sasa hawana fahamu, cha kushkuru mungu ni kwamba data za watu waliofanya uadili zipo salama
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 25, 2012 #2 Hao wazembe sana.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 25, 2012 #3 Hao majambaz nao wamekosea,walitakiwa wakavamie kule loans board ili kufuta ushahidi wa madeni yetu.
mansakankanmusa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 4,162 Reaction score 796 Jun 25, 2012 #4 habari yako naked, utoage kitu kilichokamilika
King2 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,277 Reaction score 182 Jun 25, 2012 #5 Never trust Wafu Radio
DEVINE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 536 Reaction score 86 Jun 25, 2012 #6 Kwanini wasingekwenda heslb!
nover JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 239 Reaction score 178 Jun 26, 2012 Thread starter #7 shemweta said: habari yako naked, utoage kitu kilichokamilika Click to expand... nimesikia kwenye radio mkuu
shemweta said: habari yako naked, utoage kitu kilichokamilika Click to expand... nimesikia kwenye radio mkuu