K Kellerman New Member Joined May 2, 2011 Posts 3 Reaction score 0 May 6, 2011 #1 Sorry waungwana nilikuwa napenda kufahamu idadi ya vyuo ambavyo mwanafunzi anayejiunga na chuo kikuu mwaka 2011/2012 anapaswa kuchagua?
Sorry waungwana nilikuwa napenda kufahamu idadi ya vyuo ambavyo mwanafunzi anayejiunga na chuo kikuu mwaka 2011/2012 anapaswa kuchagua?
Maganga Mkweli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2009 Posts 2,089 Reaction score 829 May 6, 2011 #2 Kellerman said: Sorry waungwana nilikuwa napenda kufahamu idadi ya vyuo ambavyo mwanafunzi anayejiunga na chuo kikuu mwaka 2011/2012 anapaswa kuchagua? Click to expand... KAMA UNA COMPUTER KARIBU YENYE INTERNET PITIA HII WEBSITE TCU Website
Kellerman said: Sorry waungwana nilikuwa napenda kufahamu idadi ya vyuo ambavyo mwanafunzi anayejiunga na chuo kikuu mwaka 2011/2012 anapaswa kuchagua? Click to expand... KAMA UNA COMPUTER KARIBU YENYE INTERNET PITIA HII WEBSITE TCU Website
Eshacky JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 965 Reaction score 252 May 6, 2011 #3 Ndugu, course 8, ktk vyuo tofaut ,ila chuo kmoja kisizid course 3, na wala zisiwe chini ya course 6. Kiujumla. Soma ktabu cha tcu mwanzoni.
Ndugu, course 8, ktk vyuo tofaut ,ila chuo kmoja kisizid course 3, na wala zisiwe chini ya course 6. Kiujumla. Soma ktabu cha tcu mwanzoni.