JACOB MANG'OMBE
Member
- Mar 24, 2012
- 32
- 4
Wadau habari zenu? Je ni nani amesha-apply kwa njia ya CAS ya TCU halafu yeye antumia equivalent qualification ya diploma? Kuna jambo linanisumbua katika ku-register, ninaweka registration number ya diploma inkataa kwamba haipo katika record zao, any idea pplzzz? Thanx in advance.