JACOB MANG'OMBE
Member
- Mar 24, 2012
- 32
- 4
Wadau habari zenu? Je ni nani amesha-apply kwa njia ya CAS ya TCU halafu yeye antumia equivalent qualification ya diploma? Kuna jambo linanisumbua katika ku-register, ninaweka registration number ya diploma inkataa kwamba haipo katika record zao, any idea pplzzz? Thanx in advance.
nijuavyo mimi chuo mfano sua equivalent wana apply moja kwa moja chuoni na co kupitia tcuWadau habari zenu? Je ni nani amesha-apply kwa njia ya CAS ya TCU halafu yeye antumia equivalent qualification ya diploma? Kuna jambo linanisumbua katika ku-register, ninaweka registration number ya diploma inkataa kwamba haipo katika record zao, any idea pplzzz? Thanx in advance.