Tcu

Tcu

nover

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
239
Reaction score
178
kwa wale wenye shida na tcu jaribuni ku-log in tena maana ishakubali, tatizo lishaondoka
 
tcu sasa iko safi - ukisahau password kuna maandishi mekundu chini sehemu ya ku log in unabofya na inakupa ka page ka kuingiza taarifa za kukuwezesha kuipa pw mpya LAKINI lazima uingize namba za scratch card uliyoinunua NBC huitajiki kununua ingine.

ukishaingia unauwezo wa kuingiza taarifa zako zinazokosekana kwenye profile yako kinyume na hapo awali ilibidi uwapigie simu bila mafanikio au uende dar ofisini kwao.

Tunawapa heko ingawa bado tatizo la checking in progree kwa wiki na zaidi
 
Back
Top Bottom