G gladness levy Member Joined Aug 15, 2012 Posts 5 Reaction score 1 Aug 22, 2012 #1 hivi jaman hawa TCU ni mambo gani wanafanya? kulikoni kumpangia mtu course ambayo hakuomba??? mie cwaelewiii m2 kaomba education anapewa accountancy nini hii?????????????
hivi jaman hawa TCU ni mambo gani wanafanya? kulikoni kumpangia mtu course ambayo hakuomba??? mie cwaelewiii m2 kaomba education anapewa accountancy nini hii?????????????
P pessa Member Joined Aug 7, 2011 Posts 8 Reaction score 3 Aug 22, 2012 #2 Hata dada yangu nae wamemfanyia upuuzi kama huu.