Te Amo, Asprin, Fidel 80 na Klorokwin

Mi ntakuwa nashauri kinamama.
Kina baba utawashauri wewe
Bibi anatakiwa aje kufanya nini?

Weita...........hebu leta wanzuki hapa..........naona Askofu wa mapepo ananizengua tu hapa!

Bibi atawashauri wamama, wewe utawashauri wababa
ndo maana nataka nimpe bibi semina, sema Amen...

Nilikuwa na wasiwasi na mahudhuria yako,
kumbe una lako jambo, ushindwe...
 
naona umeanza kupiga ndogo ndogo......!

huyu ndazi niachie mimi we kaendelee na blakiwomani:becky::becky::becky:

Hehehehehe....kijana acha wivu....

wajukuuz are for babu and babu onle!!!
 
Bibi atawashauri wamama, wewe utawashauri wababa
ndo maana nataka nimpe bibi semina, sema Amen...

Nilikuwa na wasiwasi na mahudhuria yako,
kumbe una lako jambo, ushindwe...

Aisee we Pengo wa JF,

Peana mimi kazi ya kushauri wanawake waliotalikiwa, na wajane kwa ujumla (Wajane na prefer wale ambao waume zao wamekufa ghafla kwa ajali, siyo baada ya kuugua muda mrefu.......):glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Badala ya kusikiliza "banjuka tu"
unasikiliza "twinkle twinkle little star"

kwa kizazi hiki ha dot com, twinkle twinkle imechukua nafasi hata ya taarifa ya habari na isidingo pia, nyumbani hakutoshi. Hata kama una TV ya pili, utakuja itwa ukajiunge, lol, kubeba mimba si kazi kazi jamani...
 
umenena ukweli mtupu
 
Aisee we Pengo wa JF,

Peana mimi kazi ya kushauri wanawake waliotalikiwa, na wajane kwa ujumla (Wajane na prefer wale ambao waume zao wamekufa ghafla kwa ajali, siyo baada ya kuugua muda mrefu.......):glasses-nerdy::glasses-nerdy:

Stop it men, your killing me.teh teh
PS.
Another reason to take it to the bar,nyumbani huwezi kuwaita "Nyie ng'ombe maji wa mayai..." unless you want a mouth full of washing liquid,trust me kuna 'laha' yake!
 
Asprin my libs....Jamani nimecheka...asprin wewe ni noumer...dah.....wajane u preffer waume zao walio kufa ghafla...ha ha ha ha...Duu watu dunia hii.
 
kwa kizazi hiki ha dot com, twinkle twinkle imechukua nafasi hata ya taarifa ya habari na isidingo pia, nyumbani hakutoshi. Hata kama una TV ya pili, utakuja itwa ukajiunge, lol, kubeba mimba si kazi kazi jamani...

kweli kabisa mamaake
watoto siku hizi baby sitter ni TV...
kipindi kile chetu ni mchanga nyumba ya jirani mmmhhh
 
Uko vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…