Mmmm walikishe paper...subiri wajeHuu uzi ni mhimu kwa mwenye mapenzi mema na watakaofuata watusue tusu la usaili.
usiogope kutupa tips za nini umekutana nacho wakati wa kusailiwa, Maswali, uzoefu na taratibu zingine.
Ndugu kuwa shuhuda ili vijana watusue, usiogope tiririka... Karbu.
Ngoja tusubiri muongozoHuu uzi ni mhimu kwa mwenye mapenzi mema na watakaofuata watusue tusu la usaili.
usiogope kutupa tips za nini umekutana nacho wakati wa kusailiwa, Maswali, uzoefu na taratibu zingine.
Ndugu kuwa shuhuda ili vijana watusue, usiogope tiririka... Karbu.
Hili Swali linahitaji Teaching methods hili mfano Collaborative learning Through Discussion, the use of Teaching Aid , etc4.what strategies do you consider to make mathematics to be simple to students (five points)
Hongera kwa upendo Mungu akuzidishie1......
2.explian briefly about your self
3.what do you consider when preparing mathematics lesson (five points)
4.what strategies do you consider to make mathematics to be simple to students (five points)
5.what is the importance of professional development in mathematics ( five points)
6.mention five laws of algebra which are used in simplification of logic
Walimu kwenye math ndo hali ilikuwa ivyo
SWALI LA KWANZA LILIKUWA PREPARE A LESSON OF 20 MINUTES THEN MAKE PRESENTATION TO THE MEMBERS OF THE PANEL
1......

Maswali yamekaa kama ya oral interview1......

Ni oral hata hivyoMaswali yamekaa kama ya oral interview
Its easy and simple when you are out of interview room! Don get twisted….Simple question and easily.
Lazima,ikiwezekana tupia na tai na koti kama unalo ila tai isiwe nyekunduHivi ni lazima kuchomekea
Kwamba nchi nzima maswali yalikuwa haya haya ?1......
2.explian briefly about your self
3.what do you consider when preparing mathematics lesson (five points)
4.what strategies do you consider to make mathematics to be simple to students (five points)
5.what is the importance of professional development in mathematics ( five points)
6.mention five laws of algebra which are used in simplification of logic
Walimu kwenye math ndo hali ilikuwa ivyo
SWALI LA KWANZA LILIKUWA PREPARE A LESSON OF 20 MINUTES THEN MAKE PRESENTATION TO THE MEMBERS OF THE PANEL
Kwa hicho kiingereza bora uungane na Yericko Nyerere kulima bamia huko Kigamboni.Simple question and easily.
Bamia zinalipa hauoni jamaa kajenga ghorofa pale Mbutu !Kwa hicho kiingereza bora uungane na Yericko Nyerere kulima bamia huko Kigamboni.