Katung'a
Member
- Jul 2, 2015
- 40
- 20
Hivi ni vituo vya walimu ambavyo vimekua vikitumika kuwasaidia walimu kuendana na wakati kwa kupitia matini mbalimbali, vimetumika kuwakutanisha walimu pamoja na kupeana uzoefu kusoma vitabu pamoja nk lakini kwa sasa vingi havitumiki na havina vitabu vinavyoendana na wakati.
Walimu wanafundisha kwa uzoefu na kukariri.
Tufanyeje tufufue vituo hivi?
Walimu wanafundisha kwa uzoefu na kukariri.
Tufanyeje tufufue vituo hivi?