😄 alaf anatafuta walimu wa kufundisha kinyakyusa. Si angeenda hapo jirani Mbeya wamejaaDuh Hadi tunduma Kwa ajili ya kufundisha tu,Kwani huko umekosa walimu?
Anataka useme shule iko wapi.Mmmmh Haiko huko ....
Ametoa a sarcastic comment, ili mtoa tangazo uelewe kwamba unatakiwa kuweka location ya shule ilipo kwenye tangazo lako, ili wanaoomba waweze kujua kabisa hiyo shule iko wapi...? Unawekaje tangazo la kazi bila kusema location ya kazi?Mmmmh Haiko huko ....
Kama shule imetoa Tangazo kama hili. Basi uwezo wa muandaa matanagazo ni mdogo sana.Hello Looking for teachers for Pre and Primary English medium school
Requirements
1. Minimum three (3) years teaching experience in PRIVATE primary or Secondary schools
2. Education: Diploma or degree holder
3. Send your application and certificates to the mail below before 31 Jan 2025.
Email: gasmak.schools@gmail.com
Good luck! Josam
Nakushauri ujipange haujajipanga vizuri. Bila kujipanga utaanza vibaya na image ya shule itakaa vibaya kumbuka first impression matters. Mwalimu ni sehemu ya uwekezaji so ukitaka kutreat mwalimu kama unaajiri mchunga ng'ombe majibu yake utayapata.Hello Looking for teachers for Pre and Primary English medium school
Requirements
1. Minimum three (3) years teaching experience in PRIVATE primary or Secondary schools
2. Education: Diploma or degree holder
3. Send your application and certificates to the mail below before 31 Jan 2025.
Email: gasmak.schools@gmail.com
Good luck! Josam