Teaching aid's njia rahisi kuliko zote.

Teaching aid's njia rahisi kuliko zote.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Teaching aid si neno geni katika sekta ya elimu hasa kwa walimu.

Hiki ni kitu kidogo sana lakini huwa kinaleta shida hasa kwa walimu walio ajiriwa, uandaaji wa vitu hivi umekuwa shida kweli.

Tatizo nini walimu, kitu gani/mambo gani yanapelekea tusiwe tunaandaa vitu hivi muhimu?

Hilo moja, pili, kila shule inatakiwa kuwa na chumba maalum kwaajili ya kuhifadhia hizi teaching aid, maana unakuta chache zilizobahatika kutengenezwa (hasa na walimu wa field) zinabaki zina zagaa zagaa tu na mwishowe kuharibika.

Walimu, mnajua umuhimu wa teaching aid, japokuwa watoto wetu siku hizi hawajui kusoma vizuri basi tujitahidi kuwatengenezea teaching aid maana kwa kuona wataelewa tunacho wafundisha.

Ni hayo tu walimu.
 
Mmmh! Tatizo hakuna fungu la kutengenezea hizo t.aids!!!
 
Mmmh! Tatizo hakuna fungu la kutengenezea hizo t.aids!!!

Sio lazima uwe na fungu, unaweza ukajitolea, ukatengeneza hafu ukaiuzia shule ukajipatia kipato kiaina.
 
Kazi ya ualimu imelaaniwa na serikali ya chama cha majanga..
 
Ww nawe ni mwalimu? mboni una kichwa chigumu kama nazi?!

Ndio mimi ni mwalimu, unanishangaza kidogo unapotoa mfano wa kitu kigumu kuwa "nazi" na inanipa mwanga wewe ni mtu wa aina gani.

Si ajabu hujui jinsi ya kumuingiza twiga kwenye friji.
 
Ndio mimi ni mwalimu, unanishangaza kidogo unapotoa mfano wa kitu kigumu kuwa "nazi" na inanipa mwanga wewe ni mtu wa aina gani.

Si ajabu hujui jinsi ya kumuingiza twiga kwenye friji.
Pengine ungekua sio mwalimu wa dv 5 usingehitaji 'teaching aid' kwa kila hoja uionayo. btw, umuingize twiga kwene friji ili ieje?
 
Pengine ungekua sio mwalimu wa dv 5 usingehitaji 'teaching aid' kwa kila hoja uionayo. btw, umuingize twiga kwene friji ili ieje?

Jibu lako lime conferm majibu nilionayo.

Interogation is over, call your parent i need to give them your results.
 
Jibu lako lime conferm majibu nilionayo.

Interogation is over, call your parent i need to give them your results.
Wallahi binti yangu Mwanahela katu sitoruhusu asome shule za St. Kayumba asijekutana na walimu wa 'teaching aid' kama wewe.
 
Teaching aid nyingi si lazima kugarimu fedha. Fanya Improvisation. Tumia bidhaa used hata jaa la taka laweza kukupatia. Hata embe ni teaching aid. Usicomplicate sana. Tumia akili kidogo. Usichore kama kitu halisia kipo. Tumia wanafunzi kuandaa teaching aid. Kama unafundisha Lets say Engl Word class au kiswah Aina za maneno, kwanini usikate tawi la mti lenye vichomozo vingi na kuvilabel kwa vibox ulivyoandika tayari? Waalimu tujitolee. Unafundisha rocks ushindwe hata kuokota jiwe? Jamani tujitolee waalimu.
 
Umeongea ukweli mkuu, tusipo jituma walumu kufundisha basi jamii yetu itabaki kuwa jamii ya watu wa chini, maana ikumbukwe kuwa wanafunzi wengi tunao wafundish ni watoto wa masikini, asipo fundishwa vema atabaki kuwa masikini milele.

Teaching aids ni kitu kidogo lakini kikubwa sana katika ngazi ya elimu.

Kuna kamfano kadogo huwa nnajiuliza, katika kitabu cha physics form 3 (usaid version) topic ya light kama sikosei wameelezea jinsi ya kutengeneza microscope kwa material yanayo tuzunguka, je ni walimu wangapi wamefanya hivyo?
 
Back
Top Bottom