Teaching job

Teaching job

Spellan

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
307
Reaction score
15
Nimesoma BA(Ed) major in English language & Literature. Natafuta part time job. Mawasiliano smzengo@yahoo.com,, nipo Dodoma.
 
Upo dodoma..kama upo tight jaribu pale Huruma sec watakuonea huruma tu na wanalipa poa tu.
 
Cheki pale udom,wanahtajk Ma TA.
 
Nimesoma BA(Ed) major in English language & Literature. Natafuta part time job. Mawasiliano smzengo@yahoo.com,, nipo Dodoma.

kama utaitaji shule maeneo ya DSM niPM
 
mkuu matumbo mnalipa sh ngapi? Mi nafundisha masomo ya sayansi,niPM bas tuongee

sina shule kaka,nna watu wana connection na hayo maswala..nilikuwa najaribu kumkonekt mshikaji
 
tafuta mzazi jira za ualimu ziko kibao hapo Dom kuna shule kibao za kata afu zin uhitaji mkubwa sana wa walimu. pia skul kama Hijra na Jamhuri nenda pale ukale shavu
 
tafuta mzazi jira za ualimu ziko kibao hapo Dom kuna shule kibao za kata afu zin uhitaji mkubwa sana wa walimu. pia skul kama Hijra na Jamhuri nenda pale ukale shavu

Jamhuri nilipeleka CV zangu tangu AUgost naona kimya hadi leo na pale city pia.
 
Back
Top Bottom