kulikuwa na mgogoro baina ya wizara ya elimu na wizara inayohusika na ajira. Wizara ya elimu inataka hata wale ambao wana suplimentary waajiriwe ila wale wa ajira wakadai kuwa wataajiri wale waliofaulu masomo yote tu. Hata hivyo wameyamaliza na hata wale wenye sup wataajiriwa ila ndio wa mwisho. Wengine watapaswa kufaulu masomo yote ndio waajiriwe. Mwezi huu mtaingia kazini jipange dogo!