MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 629
- 658
Kweli aiseee... Maajabu ya serkali kuwanyima fursa za kozi nzuri kwa wana Arts na akat vyuo vya nje watu wanasoma tu sasa sijui wanataka wanaArts wote wawe walimu au?
Wakuu
Mimi pia ni mwanaArts, nipo kidato cha sita nasoma HGL, HIvyo naombeni ushauri juu ya faculty nzuri ambayo nitaweza kuisoma chuoni ni ipi?