juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
teh tehNadhani neno sahihi ni 'upumbavu'.
Huwa najiuliza, hawa watu wanapata faida gani, maana wanabishana na kutukanana mpaka mishipa inawasimama.
Haaha haki ni nyingi sana[emoji3]Halafu wenyewe wanaona sifa hao....ukijaribu kuwakanya wanakwambia uwaache.
Teh teh teh.....duniani kuna haki nyingi.
Hata haki ya mtu kutaka kuwa mpumbavu nayo ni haki.
Tena haki ya msingi kabisa....ya kuweza kujichagulia.
Hizo team mara nyingi wamejaa Wanaume wa Dar...