TEAM FAM AND TAL: Nilichojifunza kutoka kwa mashabiki wa Team hizo mbili

TEAM FAM AND TAL: Nilichojifunza kutoka kwa mashabiki wa Team hizo mbili

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Team TAL wafuasi/mashabiki wake wanapima integrity na Ethics yake kwa kutumia KIWANGO CHA UKUBWA WA KUWALAUMU/KUWASINGIZIA/KUWABAGAZA WENZAKE KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA kama aliyokuwa anafanya Lytonga Mrema.
WANASAHAU KUWA: ALL THAT NEED EVIDENCE TO PROVE........which is not forthcoming as of today, now!

2. Team FAM washabiki wake wanapima integrity na ethics zake kwa kutumia past performance yake kwa miaka 20 ndani ya chadema may be na maslahi yao akiwepo FAM.
Wanasahau kuwa kuna kitu kinaitwa MONOTONY! AND EVOLUTION OF NEW IDEAS

Which way forward then between the TWO?
 
Labda utuambie Ndani ya miaka 20 Mbowe kafanya nini?

2005 aligaragazwa na JK

2010 Alimtoa Dr Slaa Bungeni Ili kupunguza nguvu ya mapambano ya Rushwa

2014 Aliwatoa UKAWA bungeni na kukwamisha upatikanaji wa Katiba Mpya

2015 Alimleta Lowasa na Kikundi chake Cha akina Dr Mollel, Cecil Mwambe nk na kuiuwa Kabisa Chadema

2021 alikimbilia Kenya kujificha akimuogopa Mwenyekiti wa CCM Shujaa Magufuli

Happy New Year 😄🌹
 
1. Team TAL wafuasi/mashabiki wake wanapima integrity na Ethics yake kwa kutumia KIWANGO CHA UKUBWA WA KUWALAUMU/KUWASINGIZIA/KUWABAGAZA WENZAKE KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA kama aliyokuwa anafanya Lytonga Mrema.
WANASAHAU KUWA: ALL THAT NEED EVIDENCE TO PROVE........which is not forthcoming as of today, now!

2. Team FAM washabiki wake wanapima integrity na ethics zake kwa kutumia past performance yake kwa miaka 20 ndani ya chadema may be na maslahi yao akiwepo FAM.
Wanasahau kuwa kuna kitu kinaitwa MONOTONY! AND EVOLUTION OF NEW IDEAS

Which way forward then between the TWO?

Tanzania Ina uhaba wa rasilimali watu .

TAL na FAM wote ni viongozi bora Ila sifikirii Kama ni saahihi wao kutawala majukwaa ya kisiasa miaka 20 pasipokutokea watu wengine .

Nilipenda Sana 'Mwabukusi ' alivyoibuka we need suck kind of people.

Lissu na Mbowe hakuna atakayefanikiwa kuitoa Ccm madarakini .

Maana wao wamejikita katika kudai Demokrasia -ni sahihi Sana .

Ila ili upate mass mobilization lazima ujikite katika mahitaji ya watu husika maana aslimia kubwa ya watz hawana Elimu ya uraia na hawafahamu hata neno demokrasia .

Wakati wa 2010-2015 zile hoja za Dr slaa ziliwagusa wananchi Sana na Chadema ikapata wafuasi wengi.

Ajira
Ugumu wa maisha
Elimu
Afya
Miundo-mbinu

Kama kweli Ccm mnataka muitoe madarakani anzeni na yale mambo ambayo yanawagusa wananchi moja Kwa moja na ambayo wana uelewa nayo.

Demokrasia yes
Katiba yes

Ila je wananchi ambao ndo wapiga kura wanaelewa kuhusu katiba na demokrasia.!?
 
1. Team TAL wafuasi/mashabiki wake wanapima integrity na Ethics yake kwa kutumia KIWANGO CHA UKUBWA WA KUWALAUMU/KUWASINGIZIA/KUWABAGAZA WENZAKE KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA kama aliyokuwa anafanya Lytonga Mrema.
WANASAHAU KUWA: ALL THAT NEED EVIDENCE TO PROVE........which is not forthcoming as of today, now!

2. Team FAM washabiki wake wanapima integrity na ethics zake kwa kutumia past performance yake kwa miaka 20 ndani ya chadema may be na maslahi yao akiwepo FAM.
Wanasahau kuwa kuna kitu kinaitwa MONOTONY! AND EVOLUTION OF NEW IDEAS

Which way forward then between the TWO?
Acha uongo wewe, TAL alipochukua form, watu wanaomuunga mkono walisifu uamuzi huo na wakaisifu sana CHADEMA. Hakusikika yeyote na popote akimbagaza Mbowe. Kubagaza kulianzishwa na Mashabiki wa Mbowe tena wengine wakiwa ni viongozi na wajumbe wa Kamati Kuu ambapo walianza kumdhihaki na kumdharirisha TL.
Hivyo kajipanga upya na story zako. Mmeona mchezo mliouanzisha umepalieni, mmeanza kuutema...
 
Ntobo na Yeriko Nyerere 🐼
 
Mtifuano wa CDM ni ropo-ropo (Lissu) hafai kuwa kiongozi vs waongo (Wenje).

Binafsi hakuna kitu kinachonikera kama kumtungia mtu uongo na kutufanya watanzania ni jamii ya wajinga (hizo ni akili za CCM).

Ni Lissu ndie alietoa elimu ya sheria kwanini habari za nusu mkate ni hadhithi za mitandaoni tu. Na akaelezea CDM aijwahi kuwa na agenda hiyo kwa sababu wanajua sheria.

Hakuna mahala, Lissu alimshutumu Mbowe kuingia makubaliano ya nusu mkate zaidi ya kutoa elimu hizo ni hadithi za mtaani, kwa sababu haiwezekani kisheria.

Hakuna mahala Lissu alimshutumu Mbowe kupewa magari na CCM. Worst unatumia maelezo yake ya sheria kumgeuzia (hadithi) it’s just appalling.

Lissu ni wa hovyo, lakini hakuna kitu kinakera kama kusikiliza mtu kama Wenje ambae anamtungia mtu uongo; wakati receipts za Lissu zipo public ya alichosema.

Bila ya mtu wa kuja kurekebisha civil services na mzalendo kama Magufuli mwenye huruma wa maskini na nchi yake; hamtoboi.

Ni sad story, mimi sio shabiki wa Lissu kabisa hafai kwenye uongozi; lakini uongo wa wazi unakera zaidi (kwanini umzushie mtu) that’s just cowardice kwa upande wa Wenje.

Sana wenje ameonyesha, kununuliwa na CCM.
 
2021 alikimbilia Kenya kujificha akimuogopa Mwenyekiti wa CCM Shujaa Magufuli
Kaandika Eric kuwa Shjaa wako , alimpiga Bensaanane risasi mwenyewe alipoletwa mbele yake kwa amri yake. Mwili wake ulitupwa Mto rufiji

Ninacho hiki kitabu njoo nikuazime usome

1735786639881.png

1735787942736.jpeg
 
Nilichojifunza kwa wafuasi wa hawa watu mitandaoni nikwamba lissu ana chawa wamakundi mengi wanaomuunga mkono.kundi la kwanza ni wale wenye mihemko,hasira au chuki dhidi ya serikali au chama cha mapinduzi,hapa utawapata wale wanaharakati uchwara wanaojitutumua kutaka kuikomesha serikali.wanamtumia lissu wakiamini watafanikiwa kuiwajibisha serikali wanayoichukia.kundi la pili niwale wanaotamani siasa za fujo na uhasama ndo maana wengi wako mitandaoni kukejeli siasa zakistarabu za mbowe wao wanaamini siasa za ugomvi uku wameshika upande wa makali kwenye upanga.niwatu ambao wanataka nchi ivurugike wakizani ndio njia yakuitoa ccm madarakani.wengine niwale wanaotamani siasa za mabadiliko ila hawataki kua sehemu ya mabadiliko wao wanaamini katika mtu ila sio wao wenyewe kua wanaweza kua sehemu ya mabadiliko.Kundi jingine nila wanasheria wanaompambania mwanasheria mwenzao awe mwenyekiti wa chadema wakiamini watakapokua na issue na serikali wapate mgongo wa chadema kwenye harakati zao.Chawa wa mbowe mitandaoni wengi ni wale wanaonufaika binafsi kua pamoja na mwenyekiti,hawa wengi tunawafahamu toka muda sina mengi yakuwazungumzia.
 
Back
Top Bottom