Team Kenya captain Nick Okoth seals Olympics slot

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Olympic boxing qualifiers

Kenyan Nick Okoth (centre) celebrates his victory over Wilson Semedo during the African Olympic boxing qualifiers in Dakar, Senegal, on February 22, 2020. PHOTO | AYUMBA AYODI | NATION MEDIA GROUP

Kenya’s Nick “Commander” Okoth will be returning to the Olympics after 12 year-hiatus.

Okoth, whose last appearance in the Olympics was during the 2008 Beijing Games, booked his ticket to this year's Tokyo Olympics after winning his semi-final featherweight bout against Ugandan Isaac Masembe at the ongoing Africa qualifiers in Dakar, Senegal.

The Team Kenya captain, edged out Masembe in a 4-1 decision to qualify for the final. Okoth, who turns 37 next month, triumphed 28-29, 29-28, 29-28, 29-28 and 29-28 to make his second appearance at the Olympics since 2008, having won the Africa qualifier.

Okoth will now face Zambian Everisto Mulenga in the final on Saturday. Mulenga also edged out Samuel Takyi from Ghana in a 4-1 decision in the other semi-final.

However, Masembe and Takyi still have another chance when they meet in the box-off on Friday ahead of the explosive Okoth and Mulenga’s final.

Kenya also has another chance to qualify one more boxer with Commonwealth Games bronze medallist Christine Ongare meeting Uganda’s Catherine Nanziri in the flyweight box-off on Friday.

Ongare, 26, suffered a unanimous decision to Rabab Cheddar from Morocco in their semi-final clash.
However, Ongare, 26, still has a last chance where she will meet Uganda’s Catherine Nanziri in the box-off for third place on Friday.

Nanziri lost her bout against top seed Boualam Roumaysa from Algeria after the referee stopped the bout in the first round to rescue the Ugandan.

Cheddar and Roumaysa will now face-off in the final on Saturday.

Other Kenyan boxers Elizabeth Akinyi and Elly Ajowi had earlier seen their hopes of making to Tokyo go up in smoke after they lost their semi-final bots.

Source: Daily Nation
 
kenya_skipper_nick_okoth_at_the_tokyo_2020_olympic_qualifiers_in_dakar__senegal__photo___olympic_channel_d5fab872c9.PNG
images
WhatsApp-Image-2020-02-26-at-05.58.25-758x426.jpeg
Kenya tibim kwenye Tokyo Olympics! Team Kenya ilituma wanadondi 13 kwenye mchuano wa kufuzu kule Dakar, Senegal. Wanaume 8 kwenye vitengo vya flyweight hadi heavy na kina dada watano. MK254, kwenye hizi Olympics tuna wawakilishi wa timu za mpira wa wavu na raga7s kwa kina dada na pia raga 7s kwa wanaume! Kwenye riadha pia tuna kikosi heavy duty kwenye vitengo vingi. Wenzetu hadi sasa hivi wamefuzu wawili tu. Wanariadha wawili kwenye marathon, Felix Simbu na dada flani hivi. Tena ni kwasababu ya technicalities za muda wa kufuzu kwa nchi zote. Sikumbuki ilikuwa ni masaa mawili na dakika ngapi.
 
Its not even guaranteed there will be Olympic....
 
Umenikumbusha kuhusu jamaa flani hivi ambaye aliacha kununua nguo mpya kwasababu aliambiwa na daktari kwamba ana High Blood Pressure. [emoji1]
Sasa kwanini Tz mmewatuma vijana wenu kule Dakar, Senegal wakachapwe Knock Out na kung'olewa meno? 😁
 
Boxing ni kazi yao, they will do it no matter the case hata kama Olympic itakuwapo au kutokuwepo..., ila hii haibadilishi the fact kwamba huenda haitakuwepo
 
Shukran, hiyo ndio point yangu. Mkulima haachi kulima kwasababu dalili za mvua hazionekani. Inashangaza sana kwamba hata kwenye dondi pia ambayo ni individual sport mpo mpo tu mmelegea kama kawa. Hakuna hata mtz mmoja ambaye amefanikiwa kufuzu, mnahitaji maombi. Yaani kwenye fainali tunamenyana na wenzetu Uganda kutoka AM, ambao kwenye riadha pia wapo wanajitahidi. Ijumaa kuna dada kutoka Kenya ambaye ataingia kwenye ring kujitafutia tiketi ya kufika Tokyo. Waombeni waongeze michezo mingine ambayo mtafaulu, kwa mfano umbea. Natania tu lakini. 😀
 
We are all mediocre fighting against other mediocrity instead of the best..., if you want to be the best compare yourself with the best..., long distance running at least you try, other sports..., not so much....

No one remembers the second best....
 
Unataka tujilinganishe na Tz kwenye michezo? Nick Okoth ndio the best hapa Afrika kwa kitengo cha featherweight kwenye dondi, ndio maana amefuzu. Malkia Strikers ndio the best hapa Afrika(kwa miaka 11 sasa) na ndio maana walifuzu kuiwakilisha Afrika kwenye mpira wa wavu kwa kina dada. Hivyo hivyo kwa Kenya Lionesess na Shujaa kwenye raga7s kwa kina dada na wanaume mtawalia, la sivyo hawengekuwa wanaiwakisha Afrika kimataifa. Kwenye mpira wa magongo tupo, kriketi tupo pia. Kwenye Ice Hockey hakuna timu kutoka kwa nchi yeyote nyingine hapa Afrika. Alpine Skiing tunawakilishwa na Sabrina Wanjiku kila mwaka kwenye Winter Games. Riadha sasa ndio usiseme. Niendelee ama nisiendelee?
 
mediocrity.... Mimi kama mtu ninaye-appreciate the best in people in their trade siwezi kuanza kusifia the best in East or Africa kwa ujumla bali the best in the world..., that's why nikasema ningekuelewa kwenye marathon hayo mengine its just being mediocre as a continent although hao watu as individuals fair to them
 
Dah, boss kwani the best duniani huwa wanaanzia wapi kama sio chini kule mashinani? Au unadhani huwa ni birthright yao na wanazaliwa wakiwa wameiva? You have to work up day after day. Sasa unataka kumaanisha kwamba nyinyi hapo mmekubali kuwa the worst? Acha kucatch mafeelings kwenye vitu kama michezo. Ndio maana kuna mashindano ya mara kwa mara na hata hao wanariadha huwa wanapiga mazoezi bila kuchoka. Maanake wakilegea watapitwa na wengine. Ndio maana tutaendelea kuwagonga tu. Proudly Kenyan, with no apologies! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
 
Unataka tujilinganishe na Tz kwenye michezo? Nick Okoth ndio the best hapa Afrika kwa kitengo cha featherweight kwenye dondi, ndio maana amefuzu. Malkia Strikers ndio the best hapa Afrika(kwa miaka 11 sasa) na ndio maana walifuzu kuiwakilisha Afrika kwenye mpira wa wavu kwa kina dada. Hivyo hivyo kwa Kenya Lionesess na Shujaa kwenye raga7s kwa kina dada na wanaume mtawalia, la sivyo hawengekuwa wanaiwakisha Afrika kimataifa. Kwenye mpira wa magongo tupo, kriketi tupo pia. Kwenye Ice Hockey hakuna timu kutoka kwa nchi yeyote nyingine hapa Afrika. Alpine Skiing tunawakilishwa na Sabrina Wanjiku kila mwaka kwenye Winter Games. Riadha sasa ndio usiseme. Niendelee ama nisiendelee?

Duh! Jamaa wewe yaani huwa napenda kusoma bango zako sana, unakera watu sana ujue!!!
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Jombaa, kuna uongo wowote hapo? Najua kuna siku shoka litaniangukia, ila kwa sasa acha nijiachie tu kwa raha zangu. 😀 Nilikuwa na nidhamu sana kabla Nalendwa aniache humu na upweke, lakini hizo ni hadithi za siku nyingine.
 
Hivi nini kilimsibu Nalendwa halafu mapenzi yenu ya humu JF ilikua mpige hatua moja na tunakua na ushemeji Tanzania.
 
Hehe. 😀 Acha tu boss, hadi nimemkumbuka na sasa nimemuelewa sana yule jamaa wa kulialia enzi zile, Matonya. ...nasukuma sukuma ili siku ziendeeeee...[emoji38]
 
Utabaki kumkumbuka, sijui katowekea wapi maana hakuwa mwanasiasa ili tushuku labda wasiojulikana wa Bongo wamemuwahi.
 
God forbid. Nipo kwenye pilka pilka za kumtrace, ila nachojua kwa uhakika ni kwamba humu Jf hatapatikana hivi karibuni.
 
mediocrity.... Mimi kama mtu ninaye-appreciate the best in people in their trade siwezi kuanza kusifia the best in East or Africa kwa ujumla bali the best in the world..., that's why nikasema ningekuelewa kwenye marathon hayo mengine its just being mediocre as a continent although hao watu as individuals fair to them
Huwezi kusifia the best in East Africa simply because your people produce non Sasa kwa wivu inakubidi kuwatambua others in the world. Unajua it is only Kenya and South Africa ambao wameweza kuchukua nafasi ya Kwanza kwenye rugby sevens series? Wapi your beloved Sportsmen?
 
I am not myopic or blinded by nationalism like you guys.., that's why I feel sorry for you..., when it comes to sports and achievements I see no nationalities but talents.., that's why I have given you Kudos for long distance and when it comes to rugby in the world South Africa deserves a shout.., in Olympic football we can talk about West Africa.., though in football as a whole, as a continent we are still mediocre.., sadly that's a bitter truth...
 
Back
Top Bottom