OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kabangu ameendelea na dharau kwamba Mwakinyo ndiyo bondia bora kwa Tanzania. Hata baada ya jana kumpa kichapo bado ameendelea na msimamo wake uleule.
Sasa tunatoa tamko kama kweli Mwakinyo kidume atoe tamko yupo tayari. Sisi tupo tayari popote hata kama ni Mkwakwani tunakuja kumchakaza